TAZAMA UKURASA HUU : KIFARANSA | KIRENO | KINGEREZA


 


                     COOK `N LITE LTD,
ni mwanachama wa Mungano was Kimatifa. Kundi la "Comcraft" (ambalo liko duniani, na limetapakaa katika nchi 52; na lililo na shughuli mbali mbali za kibiashara); ni mtengenezaji mkubwa wa vitu vya kaure, taa za karabai na stovu za mafuta ya taa katika Afrika.
Cook 'N Lite ilianzisha mwaka 1999. Kabla ya hapo, ilikuwa sehemu ua "Kaluworks LTD" na ikawa ikifanya kazi tangu 1929 wakati Kaluworks ilipokuwa imeanzishwa. Mtambo na Afisi Kuu iko katika barabara ya Mwangeka jijini la bandari ya Mombasa. Afisi ya soko na mauzo iko barabara ya Kitui, eneo la viwanda jijini Nairobi.
Leo "Cook 'N Lite" imeibuka kama kiongozi was soko nchini Kenya, mauzo yake yafika nchi za nje kwa soko zinzotambua haila ya juu kama vile Misri, Afrika Kusini, UAE, Mauritius, Bara Hindi, Kando na zile soko nyigine za kiafrika kama Tanzania, Uganda, Rwanda, Zambia, Burkina Faso, Malagasy, Sudan, Malavi, Ushelisheli, Somalia, Nigeria nk, tukitaja chache tu.
Kwa miaka mingi "Cook 'N Lite" imepata uelevi wa hali ya juu, ujuzi na utaalamu katika huduma za misaada ya majanga, kutoka maneno ya vita ya Sudan, Iran na Somalia mpaka kwa wale waliokumbwa, na janga la Tsunami was Sri Lanka na sehemu karibu jangwa za sahara barani Afrika za misaada ya wafadhili kwa jumla. Aidha misaada hii yapita Umoja wa Mataifa katika mashirika yake kama UNHCR & ICRC nk ama mashirika yasiyo ya serikali (NGO's) kwa mfano (World Vision).
Vyombo Vya Kaure vya "Cook 'N Lite" ni vya aina mbali mbali kutoka aina za mardio makubwa ya zawadi ambavyo vinaletwa kwenye katoni za zawadi zinazovutia (sahani za kaure, bakuli za matunda na birika za chai) mpaka kwa vitu vya mtu wa kawaida kama makombe, sahani za mchuzi / wali, bakuli za mikono, beseni nk, katika desini mbali mbali, miundo na vimo 777 & 999, ambazo ni aina mbili zina uzwa haraka kama vile vile aina ya stovu 82, 88, 85 zivutiazo aina ya "Jumbo" na "Deluxe" zote hizo zategenezwa na Cook 'N Lite.
Orodha ifuatayo ni ya Mchanganyiko ni tabaka mbali mbali za mazao ya Cook "N Lite:

1. VITU VYA KAURE:

Kombe, Vikomabe, Sahani za Mchuzi / Wali, Beseni, Birika za Chai, Birika za Sitima, Vyungu vya Bizari, Bakuli za Miguu ya Vidole, Mukebe ya Maziwa, Treyi, Seti ya Sahani za Kaure na Vitu vya masoko makubwa viliyo na Bakuli za Matunda, Vyungu vya Kupikia, Sahani za Kaure nk.

2. TAA ZA KARABAI:

999, 777, 555 FRAU, FRAU WASTANI , 2000
na KANDILI YA SOLA

3. STOVU ZA MAFUTA YA TAA:

82, 85 JUMBO, 85 DELUXE na 88

4. KARAI ZA CHUMA KIGUMU (STEEL)



MCHANGO KATIKA UCHUMI WA KENYA

Cook 'N Lite inaajiri wakenya 1000 na bila kupitia kuajiri, yasaidia familia 6000. Vitu vya kufanya kazi na vingine vya mtambo na vile viingizwavyo kwa utekelazji wa kazi, pamoja na huduma kutoka kwa Wakenya mbali mbali wa Jua Klai; nao pia wakisaidia kuhudumia vile viwanda na kumfaidisha zile jamii ambazo zimeajiriwa moja kwa moja na wao na zile ambazo hazikuajiriwa na wao.
Hii inageuka kunufaisha bila ajira familia nyingine 60,000 za Wakenya. Tukiongezea. CNL, inachangia moja kwa moja Hazina ya Nchi kwa njia ya kodi mbali mbali kwa mathalani, Ushuru wa Forodha, Kodi ya Mauzo, Kodi ya bidhaa ziingiazo n.k. ambavyo inafikia mamilioni ya shiling pesa taslimu za kenya kila mwaka kwa njia kuuza nje ya nchi asili mai 50% ya mazao yake kwa jumla, Cook 'N Lite yachangia kwa wingi yake mapato ya Fedha za Kigeni za serkali ya kenya katika Hazina yake.

MAZAO
  Beseni & Tray
  Sahani
  Bakuli
  Makombe na Vikombe
  Vyungu vya Bizari
  Sahani za Kaure na Zaidi
  Mikopo ya Maziwa
  Birika Za Chai na Birika Ya Stima
  Stovu Za Mafuta Ya Taa
  Taa Za Karabai
   

Mazao Mapya

Huu Kurasa Ime Undwa Na:
© 2007 COOK 'N LITE LIMITED, MEMBER CLOVIS INDUSTRIES INC